SIR ALEX FERGUSON ATAFUTA SAINI YA RIO MKATABA MPYA

Rio Ferdinand

KOCHA wa Manchester United, Sir Alex Ferguson amesema Rio Ferdinand atapewa mkataba mpya.Ferguson ana furaha kwa kiwango cha beki huyo.Ferguson alisikika akisema kwamba hadhani kama kuna sababu yoyote ya kwanini Rio asibaki OLD TRAFORD. Tunawapa wachezaji mikataba ya mwaka mmoja.Hakuna ubaya katika hilo. Sijui wakala wake ameomba kitu gani.

Comments